Most Recent

EP37: Psalm week 1

Mar 31, 2025    Audio by Elizabeth Calmes, Written by Elizabeth Calmes

Karibu katika kipindi cha wiki hii. Tumefurahi uko hapa! Leo, tunaanza ibada mpya kutoka katika Kitabu cha Zaburi. Iwe una wasiwasi au unahitaji kutiwa moyo, maneno haya hutoa tumaini na faraja.

Pumzika kidogo na kuchukua muda wa kusikiliza kipindi hiki, na kuruhusu mistari kutoka Zaburi izungumze na moyo wako na kuleta mabadiliko katika maisha yako. Kwa pamoja, tutagundua hekima na amani inayotokana na Neno la Mungu pekee. Asante kwa kusikiliza.


Welcome to this week's episode. We're thrilled you're here! Today, we're beginning a new devotional from the Book of Psalms. Whether you're anxious or need encouragement, these words offer hope and comfort.

Sit back and let the verses from Psalms speak to your heart and bring transformation to your life. Together, we'll discover the wisdom and peace that comes only from God’s Word. Thank you for listening.